Examination

33 thoughts on “Examination

 1. mm nmesoma veta masuala ya umeme miaka miwili iliyopita vp naweza kuendelea na Diploma ya mambo mengine na chuo chenu????

 2. Naitwa falidu Twaili nilitaka nijuwe kama naweza kusoma IT certificate nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nilipata division 4 ya 32 je naweza kujiunga na IT

  1. Kozi hizo ipo Falidu unaweza kujiunga na kusoma na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi

 3. Naitwa falidu Twaili nilitaka nijuwe kama naweza kusoma IT certificate nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nilipata D3 je naweza kujiunga na IT

  1. Kozi hizo ipo Falidu unaweza kujiunga na kusoma na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi

 4. Jamani naomba msaada hapa nimefanya application tokea 18 January 2018 kwa diploma kupitia nacte hadi Leo hapa hakuna majibu linakuaje hili suala naomba jibu

 5. Nilikuja kuapply hapo chuo ila mpaka sasa hivi bado sijapata majibu yoyote Napenda kufahamu kama majibu tayari yashatoka?

 6. jaman me naitwa Ashraf naulizia coz ya website desgn using content and adobe dreamweaver cs3 na je wanaitaj niwe na vigezo gan?

  1. Karibu Sana ashiraf Ndio Inawezekana Kujiunga na
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa

  1. Ndio Inawezekana shamsa Ndio na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa

  1. Usijali salum Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

 7. Nataka kujiunga na diploma nina credit nne za from four na certificate ya business administration naweza jiunga mwez huu wa pili

    1. Yes ipo bea Karibu Sana na Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
     tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

    2. Yes ipo bea Karibu Sana na Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
     tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *