jaman nanukuu kutoka kwa ALLY MWANAISHA aliuliza kua mtu aliyeishia form two anaweza kuendelea na mmemjibu kua ana vigezo anaweza kuendelea sasa sijajua hpo mnachukua wanafunzi wenye vigezo vipi au kama haujamalza hata form four unaendelea na kama unaendelea hivo vigezo vinatoka wapi maana mm nategemea kwamba vigezo vitoke kuanzia form four au na nyie ndo wale wale wa adult education kwamba asie jua kuandika anakuja,ambae hakumalz darasa la saba anakuja half mwisho unamaliza unajikuta huna ramani yoyoteππππππππ
ndio ingia kwenye tovuti yetu hii kuna sehemu ya kuchukua fomu alafu unajaza taarifa zako na kujiza kisha unatuma kwenye email zetu, piga 0622929424 kwa maelekezo zaidi
Karibu sana Musa, Ni fahari yetu kukuhudumia. Nafasi bado zipo na tunaendelea kusajili wanafunzi jitahidi ufanye maombi mapema Hostel pia zipo na za kisasa zaidi piga 0745561090 / 0622929424 upate maelezo zaidi na kujiunga
Umepiga kwa namba gani? Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Tunatoa Diploma pia Hapa hapa Karibu Sana na Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Mwanangu ana 4 ya 32 kiswahili ana c na english ana D mengine F ni Form four leaver je? Anaweza kuwa na sifa za kusoma hoteli management? Na ada ni sh ngapi
Karibu Sana Ndio Inawezekana Kozi anaweza kujiunga zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa
Karibu happy Kozi zipo nyingi tu na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu

Karibu Oliver Fomu zipo kwenye website Yetu ya https://www.kitm.ac.tz kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu

Nahitaj kujiunga na chuo lakin sijui gharam pia sjui unatakiwa uwe na vigezo gan
Habari!!!!! naomba kuuliza kuhusu kozi ya HOTEL MANAGEMENT…. haswa inahusiana na kitu gani… na inakua kwa muda gani
jaman nanukuu kutoka kwa ALLY MWANAISHA aliuliza kua mtu aliyeishia form two anaweza kuendelea na mmemjibu kua ana vigezo anaweza kuendelea sasa sijajua hpo mnachukua wanafunzi wenye vigezo vipi au kama haujamalza hata form four unaendelea na kama unaendelea hivo vigezo vinatoka wapi maana mm nategemea kwamba vigezo vitoke kuanzia form four au na nyie ndo wale wale wa adult education kwamba asie jua kuandika anakuja,ambae hakumalz darasa la saba anakuja half mwisho unamaliza unajikuta huna ramani yoyoteππππππππ
Je unaweza kusoma online yani bila kuwepo venue hiyo
ndio ingia kwenye tovuti yetu hii kuna sehemu ya kuchukua fomu alafu unajaza taarifa zako na kujiza kisha unatuma kwenye email zetu, piga 0622929424 kwa maelekezo zaidi
Nataka kusoma hotel management sasa kuna shule zingine hazina masomo ya dini je kama Nina pass NNE za masomo mengine naweza soma
Nafasi si bado zipo… Hotel management
Habari, nauliza kuhusu coarse ya hotel inakueJ na mna bweni hapo chuoni.
Karibu sana Musa, Ni fahari yetu kukuhudumia. Nafasi bado zipo na tunaendelea kusajili wanafunzi jitahidi ufanye maombi mapema Hostel pia zipo na za kisasa zaidi piga 0745561090 / 0622929424 upate maelezo zaidi na kujiunga
Hyo miezi 9 unasoma tuu au na field hapohapo
Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 tukuelekeze vizuri
nata kujiunga hila nawatafuta ampokei nataka kujiunga na hotel management na ada zikoje
Umepiga kwa namba gani? Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Soleee.. Kwa mtu aloishia form two anaweza jiunga na course ya hotel hpo??
Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Elimu ya juu muizungu mzayo mtakayo itoa niipi ?
Pia, mna offer bachelor in hotel management?
Karibu sana clarence sisi kwa sasa tunatoa Diploma na Cheti ila unaweza piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Please send me your requirements for hotel managements students.
Send requirements for diploma students and school structure.
Your more welcome Hassan, please kindly call us on 0745561090/0717816034 for more and easy Information
Na vp nikimaliza certificate nawezapata wapi chuo cha kusomea diploma
Tunatoa Diploma pia Hapa hapa Karibu Sana na Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Mwanangu ana 4 ya 32 kiswahili ana c na english ana D mengine F ni Form four leaver je? Anaweza kuwa na sifa za kusoma hoteli management? Na ada ni sh ngapi
Karibu Sana Ndio Inawezekana Kozi anaweza kujiunga zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa
Fild zenu mnafanyiaga wapi na mna offer nini
Karibu happy Kozi zipo nyingi tu na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa
Habari nataka kujiunga na course ya hotel management wapi nitapata form
Karibu Oliver Fomu zipo kwenye website Yetu ya https://www.kitm.ac.tz kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa
nataka kujua form naipataje
naitaji kujiunga na course ya hotel management
Karibu sana Yasinta Ipo tena katika ubora karibu sana Nafasi zipo karibu sana 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia
naomba kujua gharama za hotel management
karibu sana 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia
hi
Hii website Haina web-administrator
naomba kuuliza sifa ambazo zinaitjila kwa mtu anaetaka kujiunga na course ya hotel management
Namata Ipo tena katika ubora karibu sana Nafasi zipo karibu sana 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia
naitaji kujiunga na cozi ya hotel menegment napataje form
Ipo tena katika ubora karibu sana Nafasi zipo karibu sana 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia
Mimi naitwa eliza nauliza je sifa zakujiunga na hotel management nizipi nataka kujua