Habari!!
Naitwa ARAFAT je, naweza kujiunga na chuo chenu Nina C3 D3 za masomo ya arts bt na form zenu kupitia online katika website yenu hainiletei nifanyaje na kwa matokeo yangu naweza kujiunga na IT course??
Mimi naitwa Aleni Sevelin naweza kupata masomo ya computer kozi fupi chini ya veta ninao uzoefu wa kutumia computer (naweza kupata somo hilo online) kwa mawasiliano 0766415517
Habari Calvin bado hujachelewa tunaendelea kupokea maombi, fomu inapatikana katika tovuti yetu hii hapa, na kama utahitaji msaada zaidi tafadhali wasiliana nasi 0622929424
Habari naitwa Mohammed nili maliza form four na nilisona certificate ya ICT katika chuo cha eagle wings training college je naweza kuwa na vigezo vya kujiunga na diploma ya ICT katika chou chenu
Samahani me nimemaliza lasaba ila nilijiunga na elimu ya sekondari ila bahati mbaya sikumaliza kidato cha NNE nili ishia cha tatu ila ninataka kusoma kozi ya IT katika kutafucha chuo nikaona chuo chenu je? naweza kujiunga hapo
Hello CHUO KIMESAJILIWA NA NACTE PAMOJA VETA NA KINA USAJILI WA KUDUMU HIVYO TOA HOFU ANZA KUTUMA MAOMBI YAKO KABLA MUDA HUJAISHA PIGA 0622929424 / 0766348652
habari naitwa dijaty mi nina ufaulu wa D moja na c moja nikasomea basic certificate ya journalism pale sjmc ud halafu nikasoma certificate ya community development mwalim Nyerere kigamboni je naweza kuja kuchkua diploma apo kwenu
Fomu zinapatikana kwenye tovuti yetu hii hii au fika ofisin kwetu mama ngoma na sinza mapambano, mwenge Dar es salaam au piga 0622929424 kwa maelezo zaidi
Hello,kwa majina naitwa Nadrick shukuru mdeta.Nimesoma chuo cha Musoma utalii kwa ngazi ya certificate na ninapenda kuendelea na diploma,lakini kwa sasa vyeti havijatoka bado je naweza kuomba nafasi kwa intake ya september?
Unaweza kujiunga na kusoma kozi yeyote na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi
Unaweza kusoma na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi
Unaweza Kujiunga tayari una vigezo vya kujiunga jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0622929424 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Unaweza Kujiunga tayari una wegezo vya kujiunga jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Naitwa Falidu mtanda nimemaliza kidato cha nne 2017 nilitaka kujuwa kama naweza kujiunga na IT nilipata ufaulu wa 4:ya 32 je naweza kujiunga na chuo au
Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

Habari, Mimi nimemaliza chuo kikuu Kozi ya Ualimu (Baed) nina interest ya kufahamu web designing je ni kozi ya miezi mingapi na gharama zake ni sh. ngapi?
karibu Sana Kilimanjaro institute Mleke kozi hiyo ipo na tunaitoa kwa ubora wa juu na kwa gharama nafuu sana
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
karibu Sana Kilimanjaro institute Juma tumeshaanza kutoa kozi hiyo na bado

Karibu sana Godwin masomo ya cisco yapo

Karibu Sana Kilimanjaro institute Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu

habari naitwa isack nimemaliza kidato cha 4 mwaka huu na ninaitaji kusomea course ya IT ufaulu wangu nina divsion 3 ya point 23 lakini phiyscs,mathematics na chemistry nimefeli nimepata alama F lakini masomo mengine nimefaulu vizuri,je ninaweza soma course ya IT???

Nahitaji kujiunga Na course ya ICT VP Kalo Kwa ujumula.na Nina dvsF27,D7,C1,naweza kujiunga Na mwisho wa maombi N lin nisaidie nawezaje kukamilisha usajimapema.?
Karibu sana Goodness inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Inawezekana Regnald Karibu Sana na Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu

Karibu Sana lukman Ndio Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa
Karibu halifa bado nafasi zipo na

Karibu Sana Kilimanjaro institute of technology and management Muhula wa masomo 2018/2019 hakikisha haukupiti
Piga 0745561090 /0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia
Naitwa Bernard manungu nmemalza kidato cha nne mwaka Jana,, Nina C na D moja, naweza kupata nafasi ndan ya chuo chenu cha Kilimanjaro Institute of Technology??? Ahsante
Ndio Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Erick Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
nimemaliza form 4 mwaka jana nina 4 ya 27 nina D7 na C1 ninataka ku apply kozi ya information technology je ninaweza kupata nafasi na je masomo yanaanza lini
Inawezekana kabisa Kozi zipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi John Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
Naitwa John Elia Chinyoyo, nmemaliza form 4 mwaka juzi ,naombeni mwongozo juu ya chuo chenu na pia nahitaji kusomea It je naweza kupata nafasi nijibuni kwenye email Johnchinyoyo@gmail.com
Ndio John Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi John Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
naitwa shabani nimemaliza kidato cha nne mwaka jana
nina c moja na f ninaweza kujiunga na chuo chenu
naitwa shabani nimemaliza kidato cha nne
mwaka jana
nina c moja na f ninaweza kijiunga na chuo chenu
Naitwa Abdallah nilimaliza kidato Cha nne mwka 2015 na kipata Alama nne ila moja wapo ni ya dini na ninataka kusoma IT je naweza kujiunga na chuo chenu naomba munijibu
Nimemaliza kozi ya IT certificate mwaka Jana nimepata GPA 3.32 GRADE B Je nawezi nikajiunga na chuo chenu kwa ngazi ya diploma mwaka huu naomba jibu tafadhali ili nijue
nimemaliza certificate ya IT apo chuoni kwenu nikiwa under veta.lakini cjafanya mtihani wa level 3 veta.nataka nisome but nimelezwa nijiunge na diploma ya(LCCC) nifahamisheni kuhusu mfumo huuuuu
1.NI NINI(LCCC)?
2.UMETOKEA WAPI MFUMO HUU?
3.NA KWANINI HAMJAONYESHA USAJILIWAKE KATIKA MATANGAZO YENU KAMA MLIVO FANYA KWA NACTE NA VETA
LCCC Ilikuwa ni mfumo special kwa wale wa zamani ambao hawakupitia mfumo wa VETA, ili kwa baadae waje wafanye mtihani wa RPL wakihitaji kuendelea mbele.Ila kwa sasa mfumo huu haupo tena, kwa vile siku hizi wanafunzi wote wasiokuwa na pass nne na kuendelea lazima wapitie mfumo wa VETA. Tupigie kwa 0745561090 utapewa maelekezo.
Habari Felix,Muda wa masomo inategemeana na kozi na pia tuna wa jioni na mchana na tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi Kufanya usajili

MIMI naitwa DOTTO CHALYA NINA UFAULU WA KIDATO CHA NNE, ALAMA TATU NINA C MBILI NA D MOJA NAPENDA KUJIUNGA NA COZ YA ICT DIPLOMA PIA NILIAPPLY TAREHE 18,11,2017, LAKINI HADI SASA SIJAPATA MAJIBU, JE NINA SIFA ZA KUJIUNGA CHUON KWENU?
Yes unaweza kufanya ICT ukiwa na Diploma ya Business Management.It is all about Practicals, for your qualifications unaweza. Piga 0745561090 kwa maelezo zaidi.
Ndio Zipo ni Miezi 3 na ada nafuu unaweza kulipa kidogo kidogo Pia Unaweza Kujiunga Nafasi zipo Piga 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
mimi nataka nijiunge na chuo kozi ya ICT ngazi yz certificate ila form four certificate yangu ina pass tatu tu… je naweza nikajiunga na chuo…? kwa alama nilizozipata….?
hy my frend’s naitaji nafansi hapo shulen mwenu vp nawenza panta naitwa kennedy waenza nipanta facebook kwa kunitafunta kupintiya 0795185126 or 0731241368 nitashukuru endapo nitapanta hiyo furunsa naomba kwa tafandali.
Kueni Serious na mnachokifanyaa watu tme apply lakn chaajab hadi Leo akuna majib.
Kama nafasi akunaa ndo mtujib na sio kukaa kmyaa bila kutupatiaa FEEDBACK.

Fomu zipo kwenye website yetu ya https://www.kitm.ac.tz karibu sana Nafasi zipo 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
Nina certificate ya ict naweza ingia deploma kitm September intake??
Naitwa Thomas naomba list yavufaulu unaohitajika hapo kwaajili ya kujiunga na chuo
Naitaji kujiunga nachuo short cause ya ict nina d mbili tu
mimi naitwa sabas nina c moja na D mbili naweza kujiungan na chuo hiki kwenye course ya ict
Nahtaji kujiunga na chuo lakin Nina D2?
Naomba kuulizaa kama nitapata nafasi ya kusoma katika chuo cha Kitm pia naomba kujua sifa ufaulu wangu nina C MBILI NA D MOJA
Habari naitwa julliana,naomba nafasi ya kujiunga na chuo kwa course ya ict,Nina D 2
Habari!!
Naitwa ARAFAT je, naweza kujiunga na chuo chenu Nina C3 D3 za masomo ya arts bt na form zenu kupitia online katika website yenu hainiletei nifanyaje na kwa matokeo yangu naweza kujiunga na IT course??
Habari, Emmanuel polas Nina D3 na C1 nataka nataka kujiunga na course ya IT vip naweza kujiunga?
naitwa elly nina d4 za masomo ya arts je nawez jiunga na coz ya IT or ICT hapo chuon kwenu
Naitwa Hassan Nina D moja je ninaweza kujiunga na course ya IT
ningependa kujua gharama za masomo ya kozi ya ICT
Mimi naitwa Aleni Sevelin naweza kupata masomo ya computer kozi fupi chini ya veta ninao uzoefu wa kutumia computer (naweza kupata somo hilo online) kwa mawasiliano 0766415517
Mimi naitwa Aleni Sevelin naweza kupata masomo ya computer kozi fupi chini ya veta ninao uzoefu wa kutumia computer (naweza kupata somo hilo online)
Habari,naweza kutuma maombi ya kujiunga na certificate.
habari . Nikuwa nahitaji kujiunga na kozi ya IT nafasi ya cheti naweza kupata form ya muongozo pamoja na malipo
Habari Calvin bado hujachelewa tunaendelea kupokea maombi, fomu inapatikana katika tovuti yetu hii hapa, na kama utahitaji msaada zaidi tafadhali wasiliana nasi 0622929424
naomba muweke list ya short courses ambazo tunaweza kuzipata hapo chuoni kwenu
Short kozi zipo nyingi sana Huyana za upande wa Komputer, Hotel, Front office, na Video production pamoja na umeme piga 0622929424 kwa maelekezo zaidi
Nimasomogani ni yanafaa kwa kusomea it??
Habari naitwa Mohammed nili maliza form four na nilisona certificate ya ICT katika chuo cha eagle wings training college je naweza kuwa na vigezo vya kujiunga na diploma ya ICT katika chou chenu
karibu sana, Diploma hapa tunayo tungeomba uwasiliane nasi ili tuweze kujua namna ya kukusaidia 0622929424
Samahani me nimemaliza lasaba ila nilijiunga na elimu ya sekondari ila bahati mbaya sikumaliza kidato cha NNE nili ishia cha tatu ila ninataka kusoma kozi ya IT katika kutafucha chuo nikaona chuo chenu je? naweza kujiunga hapo
nimemaliza form4 2019 ninaufauru wa F32 je ninaweza kujiunga na IT
nimemaliza mwaka Jan 2018 form 4 nimepata F32 je ninaweza kujiunga na IT au ICT
wasiliana nasi 0622929424 / 0766348652 uweze kujua namna ya kujiunga
Naitwa RAPHAELY DOMINICK NATAKA KUJIUNGA NA CHUO CHENU NILITAMAN KUJUA KAMA KIMESAJILIWAAAA
Hello CHUO KIMESAJILIWA NA NACTE PAMOJA VETA NA KINA USAJILI WA KUDUMU HIVYO TOA HOFU ANZA KUTUMA MAOMBI YAKO KABLA MUDA HUJAISHA PIGA 0622929424 / 0766348652
Hostel zipo umbali gani kutoka chuoni??
Hapana hostel zipo karibu na chuo.
Naitwa gody! Ningefrahi saana kujua kama huduma ya hostel inapatikana
Chuo kina hostel nzuri tu, utajiskia upo nyumbani uwapo masomoni, usiache kutupigia kupitia 0622929424 / 0766348652
napenda kuuliza kama nahitaji kusoma IT gharama ni Tsh ngapi
Nina c1 na d5
Ufaulu wako ni mzuri unaweza kujiunga kabisa jitahidi ufanye maombi mapema, 0622929424 / 0766348652 kwa mawasiliano zaidi
Naitwa Frederick Erick nmemaliza form 4 kwa ufaulu wa D4 na c2 je naweza kupata nafasi ya IT kozi ya mda mfupi nani shingapi ada
karibu frederick, inawezekana kujiunga hata ya muda mrefu, hebu wasiliana nasi 0622929424/ 0745561090
Naitwa yusuph kassanga na wezaa kusoma kozi ya ICT na cheti chaa college na weza kuanza kujiunga kusoma hapo chuo chini ya veta
Piga namba zetu za mawasiliano tuweze kukupatia maelekezo zaidi 0745561090 / 0622929424
Mbona hujanijibu
tupigie kupitia 0745561090 au 0622929424 kupata maelezo zaidi
dijaty nilitaka kujua yani ulisema una D moja na C moja na kwenye form four au
Naweza kujiunga na chuo chenu nna ufaulu wa dv 1V26
Inawezekana kabisa Renatus kujiunga hakikisha unatupigia kupata maelezo namna gani ya kujiunga 0745561090/0622929424
habari naitwa dijaty mi nina ufaulu wa D moja na c moja nikasomea basic certificate ya journalism pale sjmc ud halafu nikasoma certificate ya community development mwalim Nyerere kigamboni je naweza kuja kuchkua diploma apo kwenu
inawezekana kupata Diploma hapa kwetu hebu tutafute kwenye namba zetu za mawasiliano 0745561090/0622929424 upate maelekezo zaidi
dijaty naomba kujua huo ufaulu wa d moja na c moja ndo ulienda kusoma hiko chuo cha sjmc ud?
matokeo naweza pata wapi ya 2017/2018 tulio maliza certificate tulio field.
Wasiliana na Uongozi wa Chuo kupata Unachohitaji
Hostel zipoh?
Habari zenu?
Fomu za kujiunga zinapatikana wapi?
Fomu zinapatikana kwenye tovuti yetu hii hii au fika ofisin kwetu mama ngoma na sinza mapambano, mwenge Dar es salaam au piga 0622929424 kwa maelezo zaidi
Naomba sifa za kusoma diploma ya IT
Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 / 0652835123 kwa maelezo zaidi
Hello,kwa majina naitwa Nadrick shukuru mdeta.Nimesoma chuo cha Musoma utalii kwa ngazi ya certificate na ninapenda kuendelea na diploma,lakini kwa sasa vyeti havijatoka bado je naweza kuomba nafasi kwa intake ya september?
Karibu Sana Nadrick Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi
nina D nne na C mbili nawezakusoma coz gan
Unaweza kujiunga na kusoma kozi yeyote na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi
Naitwa musa nina D4 naweza kusoma ICT na procurement
Unaweza kusoma na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi
Mi mimfanyakazi naitaji kukiunga masomo ya jioni
karibu sana Peter Masomo ya jioni yapo hebu jisajili kwa haraka ili uweze kupewa utaratibu kwa haraka piga 0745561090/0622929424
Naitaji saana kujiunga na chuo chenu nina D tano Na B moja ila….mim nimfanyakazi nahitaji evening class
Unaweza Kujiunga tayari una vigezo vya kujiunga jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0622929424 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
nahitaji kusoma IT . Nina D mbili Na C moja Naweza kujiunga na chuo hiki?
nahitaji kusoma IT . Nina D mbili Na C moja Naweza kujiunga na chuo hiki?
Unaweza Kujiunga tayari una wegezo vya kujiunga jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Naitwa Falidu mtanda nimemaliza kidato cha nne 2017 nilitaka kujuwa kama naweza kujiunga na IT nilipata ufaulu wa 4:ya 32 je naweza kujiunga na chuo au
Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
naitwa pius jelas nimemaliza 2016 na nilipata ufaulu wa 4:26 je naweza pata nafasi ya kujiunga na IT?
Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
N
Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Habari, Mimi nimemaliza chuo kikuu Kozi ya Ualimu (Baed) nina interest ya kufahamu web designing je ni kozi ya miezi mingapi na gharama zake ni sh. ngapi?
karibu Sana Kilimanjaro institute Mleke kozi hiyo ipo na tunaitoa kwa ubora wa juu na kwa gharama nafuu sana
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
naitwa juma naomb kijua kama kuna cous za IT na cisco
karibu Sana Kilimanjaro institute Juma tumeshaanza kutoa kozi hiyo na bado
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
naitwa godwin nahitaji kusoma kozi ya cisco gharama sh. ngapi kila kitu
Karibu sana Godwin masomo ya cisco yapo
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Samahani, nahitaji kufahamu mnatoa kozi ya ICT level 3. na mwanafunzi akiwa na vigezo vipi
Karibu Sana Kilimanjaro institute Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
IT

Naitwa chrispin jeremia nina 4.32 naweza kijiunga na ict
habari naitwa isack nimemaliza kidato cha 4 mwaka huu na ninaitaji kusomea course ya IT ufaulu wangu nina divsion 3 ya point 23 lakini phiyscs,mathematics na chemistry nimefeli nimepata alama F lakini masomo mengine nimefaulu vizuri,je ninaweza soma course ya IT???
Karibu Sana Kilimanjaro institute Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Nahitaji kujiunga Na course ya ICT VP Kalo Kwa ujumula.na Nina dvsF27,D7,C1,naweza kujiunga Na mwisho wa maombi N lin nisaidie nawezaje kukamilisha usajimapema.?
Karibu sana Goodness inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Naitwa regnard. Je
Naweza jiunga na IT kwa ufailu wa division 4 na nikozi ya mda gani
Inawezekana Regnald Karibu Sana na Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
Naitwa luqman nimemaliza form 4 lakin matokeo yangu hayakua mazur je naweza kujiunga kusomea ict hapo
Karibu Sana lukman Ndio Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa
Je niki anza Kutuma maombi kuanzia leo inachukua mudagani,
Karibu halifa bado nafasi zipo na
tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa
Naitwa Rahimu sijasoma sek
Na Nina kipag naweza kujiunga na masomo ya IT ¿¿
Karibu Sana Kilimanjaro institute of technology and management Muhula wa masomo 2018/2019 hakikisha haukupiti
Piga 0745561090 /0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia
Naitwa Bernard manungu nmemalza kidato cha nne mwaka Jana,, Nina C na D moja, naweza kupata nafasi ndan ya chuo chenu cha Kilimanjaro Institute of Technology??? Ahsante
Naitwa Bernard manungu nmemalza kidato cha nne mwaka 2017,,, Nina C na D moja,,,, je naweza nkajiunga na chuo chenu
Ndio Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
Samahn, naangalia form ya malipo lakin siioni, xo napenda kujua nitaipataj au iko kwa wap ndan ya websit yenu
Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
ninaitwa ivan nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina 4 ya point 29 naweza mijiung na koz ya information technology
Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Erick Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
nimemaliza form 4 mwaka jana nina 4 ya 27 nina D7 na C1 ninataka ku apply kozi ya information technology je ninaweza kupata nafasi na je masomo yanaanza lini
Inawezekana kabisa Kozi zipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi John Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
Habari
Nauliza masomo ya IT kwa ngazi ya certificate kwa mwaka huu yanaanza lini??
Naitwa John Elia Chinyoyo, nmemaliza form 4 mwaka juzi ,naombeni mwongozo juu ya chuo chenu na pia nahitaji kusomea It je naweza kupata nafasi nijibuni kwenye email Johnchinyoyo@gmail.com
Ndio John Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
Mimi naitwa Ibrahim katanzi Nina D5 je naweza kujiunga na chuo chenu
Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi John Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
naitwa exaud nina d 2 na f ya maths naeza kujiunga na chuo chenu??? naomba nijibiwe kwa email yangu exaudphd@gmail.com kwa urahis zaidi
My name is Paskalina Edward.I attended bachelor of science in computer science 2017.I’m asking for an internship in your institution.
Hi can I have your contacts please
I will get back to you soon enough Thank you
Nimemaliza elimu ya kidato cha nne nina ufaulu wa division 4:28 naweza kujiunga na chuo chenu kwenye koz ya information technology
Habari Godfrey Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
naitwa Kevin nimemaliza form 4 mwaka Jana Nina D NNE.. naweza jiunga na chuo chenu.
nimemaliza form 4 mwaka.. huu na Nina D 4..naweza jiunga na chuo.. chenu..
Habari Kelvin inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kufanya usaili mapema
habarii….nilikuwa naomba kuulza kwamba nna D 4 na C2 afu F 3 za chem na math…. na nnataka kusoma course ya IT je inawezekana kwa hzo marks…..!??
Karibu Sana Kelvin inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kufanya usaili mapema
naitwa shabani nimemaliza kidato cha nne mwaka jana
nina c moja na f ninaweza kujiunga na chuo chenu
naitwa shabani nimemaliza kidato cha nne
mwaka jana
nina c moja na f ninaweza kijiunga na chuo chenu
Karibu Sana Shaban inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kufanya usaili mapema
naitwa shabani nimemaliza kidato cha nne mwaka jana
nina c moja na f chuo chenu
Karibu Sana shaban inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kufanya usaili mapema
Naitwa Abdallah nilimaliza kidato Cha nne mwka 2015 na kipata Alama nne ila moja wapo ni ya dini na ninataka kusoma IT je naweza kujiunga na chuo chenu naomba munijibu
Karibu Sana Abdallah inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kufanya usaili mapema
Nimemaliza kozi ya IT certificate mwaka Jana nimepata GPA 3.32 GRADE B Je nawezi nikajiunga na chuo chenu kwa ngazi ya diploma mwaka huu naomba jibu tafadhali ili nijue
Karibu Sana Beka bado tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi
Nimemaliza certificate mwaka Jana nikapata GRADE B. GPA 3.32 je naweza nikajiunga na diploma kwaufaulu huo naomba nibu tafadhar ili nijue
Karibu Sana kombo bado tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi
Nahitaji kujiunga na chuo chenu kwa ngazi ya diploma
Karibu Sana Beka bado tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi
Nina D 3 nahitaji kusoma ICT math’s nana F inawezekana
Habari Thomas tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi
nimemaliza certificate ya IT apo chuoni kwenu nikiwa under veta.lakini cjafanya mtihani wa level 3 veta.nataka nisome but nimelezwa nijiunge na diploma ya(LCCC) nifahamisheni kuhusu mfumo huuuuu
1.NI NINI(LCCC)?
2.UMETOKEA WAPI MFUMO HUU?
3.NA KWANINI HAMJAONYESHA USAJILIWAKE KATIKA MATANGAZO YENU KAMA MLIVO FANYA KWA NACTE NA VETA
Habari muddy tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi
LCCC Ilikuwa ni mfumo special kwa wale wa zamani ambao hawakupitia mfumo wa VETA, ili kwa baadae waje wafanye mtihani wa RPL wakihitaji kuendelea mbele.Ila kwa sasa mfumo huu haupo tena, kwa vile siku hizi wanafunzi wote wasiokuwa na pass nne na kuendelea lazima wapitie mfumo wa VETA. Tupigie kwa 0745561090 utapewa maelekezo.
habal samahan mi ni mhitimu level 2 ngazi ya ict je naweza nkapata nafasi katika chuo chenu ili nijiendeleze na level 3 kwa mwaka 2018..?
Inawezekana kujiunga na level 3 Karibu Sana tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi Kufanya usajili
Hey vp! nipe no yako
Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka
naomba kujua utaratibu wa kujiunga hapo chuoni kwenu kuapply mnaanza Lin na utaratibu upoje
Habari Rose, Inawezekana Bado tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi Kufanya usajili
naomba kujua utaratibu mnaanza kuchukua lin wanafunzi wapya Nina mdogo wangu anataka kujiunga ICT
Habari ,Inawezekana Bado tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi Kufanya usajili
Mda wa masomo ni mda gan?
Felix kutoka mwanza
Habari Felix,Muda wa masomo inategemeana na kozi na pia tuna wa jioni na mchana na tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi Kufanya usajili
hellow// naitwa faraji nna ufaulu wa form four D2 jee,nahitaji kujiunga na coz ya ICT NAWEZA KUJIUNGA
Habari Faraji,Inawezekana Bado tunaendelea kupokea Wanafunzi
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi Kufanya usajili
Mm N GOODNESS Nina f 27,D7,na C1.nahitaji kujiunga Na course ya ICT.vp inawezekana,vp kuhusu Kalo Kwa ujumula
Karibu sana Goodness inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka
MIMI naitwa DOTTO CHALYA NINA UFAULU WA KIDATO CHA NNE, ALAMA TATU NINA C MBILI NA D MOJA NAPENDA KUJIUNGA NA COZ YA ICT DIPLOMA PIA NILIAPPLY TAREHE 18,11,2017, LAKINI HADI SASA SIJAPATA MAJIBU, JE NINA SIFA ZA KUJIUNGA CHUON KWENU?
Habari Dotto ,Pole Sana Kwa kucheleweshewa Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi
Yatakayoweza kukusaidia Kwa haraka
Nina pass za D5,, ila nina F ya Hesabu….je naweza apply kozi ya ICT?
Habari Denis ,Unaweza kujisajili kabisa bila shida tunaanzia ufaulu wa D4
Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi
hi naomba kuuliza kuna course ya journalism chuoni kwenu
Tupigie kwa namba 0745561090 tukupe maelezo zaidi.Karibu Kilimanjaro institute
Intake ya certificate kwa mwaka huu in ICT Itaanza lini !??
Nafasi zipo Evody na Intake ni January Hii Bado tunaendelea kupokea Wanafunzi unaweza Piga namba hii kwa maelezo zaidi 0745561090
kuna nafasi za kujiunga januari hii
Nafasi zipo tena fanya usajili mapema Piga namba hii kwa maelezo zaidi 0745561090
Mimi nina ufaulu wa B na C lakin nina F ya hesabu..je naweza kuapply kozi ya IT??
Una Vigezo vya kujiunga Paul Piga namba hii kwa maelezo zaidi 0745561090 na ufanye usaili mapema
na software development
Hilo ni somo ndani ya ICT
na je mnafanya programming
Yes programming tunafanya kama somo ndani ya ICT au kama short course.Itategemea wewe unachohitaji.
Tupigie kwa 0745561090 kwa maelekezo ya haraka.
mimi nina diploma ya Business management je ninaweza jiunga kufanya ict
Yes unaweza kufanya ICT ukiwa na Diploma ya Business Management.It is all about Practicals, for your qualifications unaweza. Piga 0745561090 kwa maelezo zaidi.
naweza pata nafasi ya kujinga na course ya IT diploma kwa mwezi wa 1 mwaka 2018
Kozi ya IT Diploma itakuwepo intake ya March/April 2018, ila maandalizi inabidi uanze mapema.Piga 0745561090 kwa maelezo zaidi.
Naweza kuaply kwasasa
Yes Dotto unaweza kuapply kuanzia sasa.Kama utakwama sehemu yoyote piga 0745561090 tutakupa maelekezo ya haraka.
Hapo chuoni kwenu kuna course fupi ya IT,Na muda gani ?
Ndio Zipo ni Miezi 3 na ada nafuu unaweza kulipa kidogo kidogo Pia Unaweza Kujiunga Nafasi zipo Piga 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
Yes Emmanuel, kozi fupi ya IT zipo,piga 0745561090 watakupa maelekezo mazuri.
Nina Ufaulu wa alama “D-“3 Je naweza Kujiunga na chuo chenu kwa course ya ICT nimemaliza form four Kenya
Unaweza Kujiunga Maria karibu sana Nafasi zipo [Piga 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
Nina ufaulu wa D’3 naweza kujiunga na chuo chenu kwa coz ya ICT nimemaliza form four Kenya
Naomba majibu
Unaweza Kujiunga Maria karibu sana Nafasi zipo [Piga 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
mimi nataka nijiunge na chuo kozi ya ICT ngazi yz certificate ila form four certificate yangu ina pass tatu tu… je naweza nikajiunga na chuo…? kwa alama nilizozipata….?
Yes Hamad unaweza kujiunga kwa kozi ya ICT certificate level 3.Kozi hii ni nzuri sana na ni ya Practical sana.Piga 0745561090 tukupe maelezo zaidi.
Diploma ya ICT ni miaka mingapi? Na ufaulu ni alama gap kujunga na diploma?
ni miaka miwili moses karibu sana Nafasi zipo 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
ok bt bona hamujimbu maswali?
hy my frend’s naitaji nafansi hapo shulen mwenu vp nawenza panta naitwa kennedy waenza nipanta facebook kwa kunitafunta kupintiya 0795185126 or 0731241368 nitashukuru endapo nitapanta hiyo furunsa naomba kwa tafandali.
karibu sana Nafasi zipo 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
Mbona hamjibu maswali
Uliza utajibiwa, pia unaweza piga 0745561090 kwa maelezo ya haraka.
Naweza kuapplly chuo kwa sasa
karibu sana Nafasi zipo 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
Natoka kenya, nauliza endapo mna course ya higher diploma in mass communication and journalism?
karibu sana elvis Nafasi zipo 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa harak
Hallow There
Kama na form 4 amepata D’2 anaweza kujiunga na chuo chen kwenye course ya ICT
Ndiyo unaweza kujiunga na ICT Certificate level 3, ni kozi ya Practical zaidi, piga 0745561090 kwa maelezo zaidi.
Kueni Serious na mnachokifanyaa watu tme apply lakn chaajab hadi Leo akuna majib.
Kama nafasi akunaa ndo mtujib na sio kukaa kmyaa bila kutupatiaa FEEDBACK.
Kueni Serious na mnachokifanyaa watu tme apply lakn chaajab hadi Leo akuna majib.
Kama nafasi akunaa ndo mtujib na sio kukaa kmyaa bila kutupatiaa FEEDBACK.
Kueni Serious na mnachokifanyaa watu tme apply lakn chaajab hadi Leo akuna majib.
Kama nafasi akunaa ndo mtujib na sio kukaa kmyaa bila kutupatiaa FEEDBACK.
karibu sana na samahani kwa usumbufu huo Nafasi zipo 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa harak
Bado mwanafunzi anaweza ku apply sasa
Mlisema tulio apply majib yanatok tr 14 ss leo tr 19 inakuaje hiyo
Majibu ya tulio apply mlituambia tr 14 na leo mbon tr 20 inaelekea ss inakuwaj
Naweza ku apply chuo kwa sasa
Nataka kujua juu ya course ya sisco,qualifications,muda wa masomo na ada
karibu sana Nafasi zipo 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
naitaji form ya hotel menegment nijaze niskani na nitume kwenye email yenu nafanyaje
Fomu zipo kwenye website yetu ya https://www.kitm.ac.tz karibu sana Nafasi zipo 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka
je kama nataka kujiunga na diploma ya ict hapo chuoni kwenu natakiwa kuwa na sifa gani?
je,kama anataka kujiunga na diploma hapo chuoni kwenu anatakiwa awe na sifa gani
D 3 au 4??
kama ni form 4 amemaliza ana alama ya “D” 3 anaweza jiunga na Chuo kwa course ya ICT
kama ni form 4 amemaliza ana alama ya
“D” 3 anaweza jiunga na Chuo kwa course
ya ICT
Hilo ni swali au taarifa??
Naweza ku apply chuo kwa sasa
karibu sana Nafasi zipo 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa harak
Ningependa kufaham deadline ya udahiri hapo chuoni ni lini
hello berius =, ni vyema usisubiri mwisho wa kutuma maombi kwa sasa bado tunaendelea kupokea wanafunzi 0622929424 / 0766348652kupata maelekezo zaidi