ICT Class

222 thoughts on “ICT Class

  1. Naomba kuulizaa kama nitapata nafasi ya kusoma katika chuo cha Kitm pia naomba kujua sifa ufaulu wangu nina C MBILI NA D MOJA

 1. Habari!!
  Naitwa ARAFAT je, naweza kujiunga na chuo chenu Nina C3 D3 za masomo ya arts bt na form zenu kupitia online katika website yenu hainiletei nifanyaje na kwa matokeo yangu naweza kujiunga na IT course??

 2. Mimi naitwa Aleni Sevelin naweza kupata masomo ya computer kozi fupi chini ya veta ninao uzoefu wa kutumia computer (naweza kupata somo hilo online) kwa mawasiliano 0766415517

 3. Mimi naitwa Aleni Sevelin naweza kupata masomo ya computer kozi fupi chini ya veta ninao uzoefu wa kutumia computer (naweza kupata somo hilo online)

 4. habari . Nikuwa nahitaji kujiunga na kozi ya IT nafasi ya cheti naweza kupata form ya muongozo pamoja na malipo

  1. Habari Calvin bado hujachelewa tunaendelea kupokea maombi, fomu inapatikana katika tovuti yetu hii hapa, na kama utahitaji msaada zaidi tafadhali wasiliana nasi 0622929424

  1. Short kozi zipo nyingi sana Huyana za upande wa Komputer, Hotel, Front office, na Video production pamoja na umeme piga 0622929424 kwa maelekezo zaidi

 5. Habari naitwa Mohammed nili maliza form four na nilisona certificate ya ICT katika chuo cha eagle wings training college je naweza kuwa na vigezo vya kujiunga na diploma ya ICT katika chou chenu

 6. Samahani me nimemaliza lasaba ila nilijiunga na elimu ya sekondari ila bahati mbaya sikumaliza kidato cha NNE nili ishia cha tatu ila ninataka kusoma kozi ya IT katika kutafucha chuo nikaona chuo chenu je? naweza kujiunga hapo

  1. Hello CHUO KIMESAJILIWA NA NACTE PAMOJA VETA NA KINA USAJILI WA KUDUMU HIVYO TOA HOFU ANZA KUTUMA MAOMBI YAKO KABLA MUDA HUJAISHA PIGA 0622929424 / 0766348652

 7. Naitwa Frederick Erick nmemaliza form 4 kwa ufaulu wa D4 na c2 je naweza kupata nafasi ya IT kozi ya mda mfupi nani shingapi ada

 8. Naitwa yusuph kassanga na wezaa kusoma kozi ya ICT na cheti chaa college na weza kuanza kujiunga kusoma hapo chuo chini ya veta

 9. habari naitwa dijaty mi nina ufaulu wa D moja na c moja nikasomea basic certificate ya journalism pale sjmc ud halafu nikasoma certificate ya community development mwalim Nyerere kigamboni je naweza kuja kuchkua diploma apo kwenu

 10. Hello,kwa majina naitwa Nadrick shukuru mdeta.Nimesoma chuo cha Musoma utalii kwa ngazi ya certificate na ninapenda kuendelea na diploma,lakini kwa sasa vyeti havijatoka bado je naweza kuomba nafasi kwa intake ya september?

  1. Unaweza kujiunga na kusoma kozi yeyote na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi

  1. Unaweza kusoma na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi

  1. Unaweza Kujiunga tayari una vigezo vya kujiunga jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0622929424 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Unaweza Kujiunga tayari una wegezo vya kujiunga jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

 11. Naitwa Falidu mtanda nimemaliza kidato cha nne 2017 nilitaka kujuwa kama naweza kujiunga na IT nilipata ufaulu wa 4:ya 32 je naweza kujiunga na chuo au

  1. Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

 12. naitwa pius jelas nimemaliza 2016 na nilipata ufaulu wa 4:26 je naweza pata nafasi ya kujiunga na IT?

  1. Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

 13. Habari, Mimi nimemaliza chuo kikuu Kozi ya Ualimu (Baed) nina interest ya kufahamu web designing je ni kozi ya miezi mingapi na gharama zake ni sh. ngapi?

  1. karibu Sana Kilimanjaro institute Mleke kozi hiyo ipo na tunaitoa kwa ubora wa juu na kwa gharama nafuu sana
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. karibu Sana Kilimanjaro institute Juma tumeshaanza kutoa kozi hiyo na bado
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Karibu sana Godwin masomo ya cisco yapo
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Karibu Sana Kilimanjaro institute Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu

 14. habari naitwa isack nimemaliza kidato cha 4 mwaka huu na ninaitaji kusomea course ya IT ufaulu wangu nina divsion 3 ya point 23 lakini phiyscs,mathematics na chemistry nimefeli nimepata alama F lakini masomo mengine nimefaulu vizuri,je ninaweza soma course ya IT???

  1. Karibu Sana Kilimanjaro institute Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

   1. Nahitaji kujiunga Na course ya ICT VP Kalo Kwa ujumula.na Nina dvsF27,D7,C1,naweza kujiunga Na mwisho wa maombi N lin nisaidie nawezaje kukamilisha usajimapema.?

    1. Karibu sana Goodness inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Inawezekana Regnald Karibu Sana na Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Karibu Sana lukman Ndio Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa

  1. Karibu halifa bado nafasi zipo na
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa

  1. Karibu Sana Kilimanjaro institute of technology and management Muhula wa masomo 2018/2019 hakikisha haukupiti
   Piga 0745561090 /0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia

  1. Ndio Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  1. Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Erick Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

 15. nimemaliza form 4 mwaka jana nina 4 ya 27 nina D7 na C1 ninataka ku apply kozi ya information technology je ninaweza kupata nafasi na je masomo yanaanza lini

  1. Inawezekana kabisa Kozi zipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi John Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

   1. Ndio John Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  1. Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi John Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

 16. My name is Paskalina Edward.I attended bachelor of science in computer science 2017.I’m asking for an internship in your institution.

 17. Nimemaliza elimu ya kidato cha nne nina ufaulu wa division 4:28 naweza kujiunga na chuo chenu kwenye koz ya information technology

 18. naitwa shabani nimemaliza kidato cha nne mwaka jana
  nina c moja na f ninaweza kujiunga na chuo chenu
  naitwa shabani nimemaliza kidato cha nne
  mwaka jana
  nina c moja na f ninaweza kijiunga na chuo chenu

 19. Naitwa Abdallah nilimaliza kidato Cha nne mwka 2015 na kipata Alama nne ila moja wapo ni ya dini na ninataka kusoma IT je naweza kujiunga na chuo chenu naomba munijibu

 20. Nimemaliza kozi ya IT certificate mwaka Jana nimepata GPA 3.32 GRADE B Je nawezi nikajiunga na chuo chenu kwa ngazi ya diploma mwaka huu naomba jibu tafadhali ili nijue

 21. Nimemaliza certificate mwaka Jana nikapata GRADE B. GPA 3.32 je naweza nikajiunga na diploma kwaufaulu huo naomba nibu tafadhar ili nijue

 22. nimemaliza certificate ya IT apo chuoni kwenu nikiwa under veta.lakini cjafanya mtihani wa level 3 veta.nataka nisome but nimelezwa nijiunge na diploma ya(LCCC) nifahamisheni kuhusu mfumo huuuuu
  1.NI NINI(LCCC)?
  2.UMETOKEA WAPI MFUMO HUU?
  3.NA KWANINI HAMJAONYESHA USAJILIWAKE KATIKA MATANGAZO YENU KAMA MLIVO FANYA KWA NACTE NA VETA

  1. LCCC Ilikuwa ni mfumo special kwa wale wa zamani ambao hawakupitia mfumo wa VETA, ili kwa baadae waje wafanye mtihani wa RPL wakihitaji kuendelea mbele.Ila kwa sasa mfumo huu haupo tena, kwa vile siku hizi wanafunzi wote wasiokuwa na pass nne na kuendelea lazima wapitie mfumo wa VETA. Tupigie kwa 0745561090 utapewa maelekezo.

 23. habal samahan mi ni mhitimu level 2 ngazi ya ict je naweza nkapata nafasi katika chuo chenu ili nijiendeleze na level 3 kwa mwaka 2018..?

  1. Habari Felix,Muda wa masomo inategemeana na kozi na pia tuna wa jioni na mchana na tunaendelea kupokea Wanafunzi
   Tupigie kwa namba 0745561090 ili tukupe maelezo zaidi Kufanya usajili

   1. Mm N GOODNESS Nina f 27,D7,na C1.nahitaji kujiunga Na course ya ICT.vp inawezekana,vp kuhusu Kalo Kwa ujumula

    1. Karibu sana Goodness inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

 24. MIMI naitwa DOTTO CHALYA NINA UFAULU WA KIDATO CHA NNE, ALAMA TATU NINA C MBILI NA D MOJA NAPENDA KUJIUNGA NA COZ YA ICT DIPLOMA PIA NILIAPPLY TAREHE 18,11,2017, LAKINI HADI SASA SIJAPATA MAJIBU, JE NINA SIFA ZA KUJIUNGA CHUON KWENU?

  1. Yes unaweza kufanya ICT ukiwa na Diploma ya Business Management.It is all about Practicals, for your qualifications unaweza. Piga 0745561090 kwa maelezo zaidi.

  1. Ndio Zipo ni Miezi 3 na ada nafuu unaweza kulipa kidogo kidogo Pia Unaweza Kujiunga Nafasi zipo Piga 0745561090/0717816034 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia kwa haraka

 25. mimi nataka nijiunge na chuo kozi ya ICT ngazi yz certificate ila form four certificate yangu ina pass tatu tu… je naweza nikajiunga na chuo…? kwa alama nilizozipata….?

  1. Yes Hamad unaweza kujiunga kwa kozi ya ICT certificate level 3.Kozi hii ni nzuri sana na ni ya Practical sana.Piga 0745561090 tukupe maelezo zaidi.

 26. hy my frend’s naitaji nafansi hapo shulen mwenu vp nawenza panta naitwa kennedy waenza nipanta facebook kwa kunitafunta kupintiya 0795185126 or 0731241368 nitashukuru endapo nitapanta hiyo furunsa naomba kwa tafandali.

 27. Kueni Serious na mnachokifanyaa watu tme apply lakn chaajab hadi Leo akuna majib.
  Kama nafasi akunaa ndo mtujib na sio kukaa kmyaa bila kutupatiaa FEEDBACK.

 28. Kueni Serious na mnachokifanyaa watu tme apply lakn chaajab hadi Leo akuna majib.
  Kama nafasi akunaa ndo mtujib na sio kukaa kmyaa bila kutupatiaa FEEDBACK.

 29. Kueni Serious na mnachokifanyaa watu tme apply lakn chaajab hadi Leo akuna majib.
  Kama nafasi akunaa ndo mtujib na sio kukaa kmyaa bila kutupatiaa FEEDBACK.

     1. hello berius =, ni vyema usisubiri mwisho wa kutuma maombi kwa sasa bado tunaendelea kupokea wanafunzi 0622929424 / 0766348652kupata maelekezo zaidi

Leave a Reply to The kitm Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *