Reception

113 thoughts on “Reception

 1. Habari naitwa julietha nilimaliza form four 2012 kwa alama ya D mbili,na nikasomea short kozi ya first aid,Sasa nahitaji kujiendeleza je naweza endelea na kozi za nurse au kozi gani hapo chuon

   1. Ni shafiyu idrisa karugira muhitimu wa kidato Cha nne mwaka 2020 naomba kujiunga na chuo chenu nna D 2 na C 2 naweza kujiunga 0743985810 naomba tuwasiliane Kama nitakubaliwa

   1. Naitwa Stephano Robert nimeitimu kidato cha nne nina c moja na D nne naweza kupata nafasi hapo chuon

 2. Hlw,naitwa neema nimehitimu form four 2017 kwa ufaulu wa dv 3 nauliza nafas za masomo naweza pata ila kwa mwaka kesho na mnaanza kuchukua intake ya mwezi wa ngapii?

 3. Hi,naitwa Athanas Thomas nmemaliza form 4 mwaka 2013 na skufaulu kivileee,nlipata chet chenye D mbili tu,je ufaulu huo wa mwaka 2013 utafaa kusoma kwnye chuo chenu au bado sjakizi vigezo??

 4. Naitwa Calvin Richard nimemaliza form four mwaka 2017 nikapata division 4 ya 27! Naweza pata nafasi ya kusoma kipind hiki

  1. Hello Calvin, tunayo furaha kukutaarifu kwamba, kwa sasa unaweza kutuma maombi yako maana una vigezo vya kujiunga, kwa maelekzo zaidi wasiliana nasi 0622929424 / 0766348652, upate maelekezo zaidi jinsi ya kujiunga na chuo

 5. Nahitaji kuapply online sasa sione sehemu ya kuapply online na sasa hv nipo mbali na Dar es salaam sasa sijui mtanisaidiaje.

  1. Sixberth karibu sana kwa ajili ya kusoma swala la ajira liko wazi kabisa na kazi ni uhakika hebu wasiliana nasi maana bado tunaendelea kupokea wanafunzi 0622929424

  1. Hi jina langu naitwa gilbert nyangasa nimaliza shul 2019 nilikuwa napenda sana kusoma course ya hotel menagement lakini ufaulu wangu nimepata alama D mbili tu cjui inawezekana kuwa mmoja ya wanafunzi wenu hapo chuoni

  1. Bado tunaendelea kufanya udahili nafasi bado zipo,Fomu zinapatikana kwenye tovuti yetu hii hii au fika ofisin kwetu mama ngoma na sinza mapambano, mwenge Dar es salaam au piga 0622929424 kwa maelezo zaid

  2. Naitwa Daniel ,Niko naufauli wa D3 naweza kujiunga na nimemaliza veta level II ya electrical installation ,naweza nikajiunga na chuo hicho kwa kujiendeleza au kuchagua course nyingine?

  1. Naitaji kujiunga masomo ya hotel ,reception. So naitaji kujua kam field mnatoa apo apo au tunatafuta wenyewe alfu si naweza kusoma mwaka mmoja nilikua naitaji kujua ada mnalipa being gani

   1. Karibu sana Elizabeth, Kozi hizo zipo ijapokuwa ni Full course ipo kwenye idara ya Hotel management and hospitality na kwa upande huo Field Mnapelekwa ila kwa mengineyo nakushauri upige namba zetu 0745561090 / 0622929424 tuweze kukusaidia zaidi

 6. Hello KITM. Naweza kujiunga na chuo chenu kwa kozi ya ICT ikiwa nimemaliza kidato cha nne na nina dvsn 3 kwa Comb ya Arts?

  1. Kozi hizo ipo Falidu unaweza kujiunga na kusoma na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi

 7. Naitwa deogratius peter nahitaji kujiunga na chuo chenu nahitaji kuanzia ngazi ya foundation ili niweze kusafisha cheti changu je mnatoa huduma hiyo na kama mnatoa ni Tsh ngapi na kwa muda gani

 8. Ninataka kujiunga na chuo chenu hotel management nimehitimu kidato cha sita mwaka huu nina division three je zipo nafas za kujiunga na chuo chenu

  1. Kozi hizo ipo Bushura mnali unaweza kujiunga na kusoma na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi

 9. Je ukihitaji kujiunga na chuo chenu mimi nimemaliza kidato cha nne,xema napenda kusomea biashara nitaanza na kozi gani mxaada wenu jamani.

  1. karibu sana Benjamini, unaweza kujiunga moja kwa moja ukiwa na ufaulu wa kidato cha 4 kuanzia D 2,3 4 NA kuendelea huhitaji kusoma kozi nyingine ndio ukasome biashara, tupigie kupitia namba 0745561090 au 0622929424

 10. Hello kitm Naomba kusaidiwa kuhusu namna ya Ku apply maana nahitaji lakini kutokana na kuwa seven isiyo na internet nashindwa

  1. Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

 11. Naitwa ram nime hitm 4m 4 Nina ufaulu wa divsio. 3 ,nilikua na taka kujiunga na chuo hiki ,nafas bado zipo mwez huu
  au mpaka intake ya September ?

  1. Tuma namba na pia Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Karibu sana inawezekana kabisa kujiunga na una vigezo vya kujiunga hebu jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

 12. hellow naitwa maria na nina ufaulu division 4 je nina uwezo wa kujiunga na course ya ict kwa ufaulu wang?

  1. Karibu maria inawezekana kabisa kujiunga na nafasi bado zipo ujitahidi kufanya maombi mapema kabla mfumo haujafungwa piga 0745561090/0622929424 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Hello Dominic, your most welcome at KITM, We will be sending you soon! thanks for your applying for more info you can call us +255745561090/0717816034 or whatsapp at +255715357038.have a nice day

  1. Karibu Sana Kilimanjaro institute
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

 13. Me naitwa nassoro hamad mkangumbe nimesoma mtahara wa cambridge edexcel internation general cirtificate of secondary education IGCSE na nimesoma masomo matatu na kupata ufahulu wa arama mathemtics D physics D chemistry D je naweza kujiunga na koz ya information technolgy kama inawezekana naomba mnipatie muongozo katika namba 0719213351

  1. Karibu Sana Kilimanjaro institute Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Ndio Emanuel Karibu Sana na Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Your welcome Rachel it’s very Possible to join make sure you register soon as you can join in This intake Thank you for more please call 0745561090/0717816034

 14. Hello,
  Habari,Naitwa Thomas nataka kusoma short course ya programing C++,gharama zenu ni kiasi gani?intake ziko vipi?na muda wa masomo uko vipi?
  asante

  1. Karibu Sana Thomas Inawezekana na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa

 15. Naulizia short courses zinaanza lini, ninahitaji kusoma short course ili niweze kujiunga na certificate baadaye hapo chuoni KITM.

  1. Ndio onesmo zipo muda wowote tu na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa

  1. Inawezekana Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  1. Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Erick Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

 16. mimi kwa jina naitwa dotto chalya napenda kuliza kwamba ninavigezo vya kujiunga na chuo chenu maana nina ufaulu wa c mili na d moja niliaplay coz ya IT ngazi ya Diploma. tar 18.12.2017 lakini sijapata jibu mpaka sasa je nina vigezo?

 17. hi kwa jina ninaitwa issa amiri fungu ninapendakuuliza kuwa mfano una vyeti viliwili kimoja una D tatu na cha pili una C moja sasa nauliza naweza kupata nafasi kwenye chuo chenu na ninapenda kuaaply Account na mda wa kuaaply kwa mimi cartificate naweza kupata nafasi kwenye chuo chenu

 18. Me naitwa nassy toka mwnza samahan naomb kujua kama kwa sasa naeza kupata nafasi ya kusoma IT hapo chuon coz mlinambia sytem ya nacte imefungwa na sijaappy ila nilidownload application form ila swal kubw n kwamb naeza kupata nafasi kwa mwez huu? 0743930692

 19. samahani Mimi naitwa Amini Kasimba Mfinanga ni muhitimu wajidato cha NNE nilikuwa naomba nafasi yakyjiunga nachuo chenu katika mafunzo ya kozi ya information technology (IT)

  nitafurahi sana endapo nitakubaliwa kujiunga nachuo hicho
  wako
  A.mfinanga
  AMINI MFINANGA
  0764348706

 20. Naulizia Taarifa za waombaji wa Ngazi ya Certificate IT, kuwa ni lini zitatoka ,ikiwa kwa taarifa husika ilikuwa ni tarehe 18/09/2017 . na mpaka sasa mwengine hatufaham tumechaguliwa au lah

  1. ok nashukuru sana kwahunduma munazo towa ila nilikuwa naitaji nafasi yakusomeya mambo ya wayarng inawenzekana naitwa kennedy kuntoka kenya mwaenza nipanta fecabook kama kennedy wasafi au msoto bzoo powa wadawu wagu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *