Hotel

130 thoughts on “Hotel

 1. Naitwa Omary nikiwa pangan/tanga
  nina ufalu Wa masomo ma tano kwa Alana D tafadhari naweza kujiunga? Pia nawezaje kupata form za kujiunga huku nilipo?

 2. Jina langu Alex nimehitimu Kidato cha
  nne Nina C2 na D2 naomba kujiunga na chuo kwa koz ya ellectrico intolerance

  1. Habari yako Kelvin, vizuri sana kwa kutuonyesha ufaulu wako na nikutaarifu kwamba u=una vigezo vya kujiunga katika chuo chetu unaweza kutupigia kupitia 0622929424 / 0766348652 upate maelekzo vizuri namna ya kujiunga na chuo

 3. Nimehitim form 4 nina D mbili na C moja naweza kujiunga na chuo chenu nipo moshi nahitaji kusomea Electrical Intallation.

 4. habari naitwa erick ilomo nina mtu anataka kusoma It ya computer repair and networking maombi nataka kuomba online nahitaj kujua kama bado udahili unaendelea..

  1. Bado tunaendelea kufanya udahili nafasi bado zipo,Fomu zinapatikana kwenye tovuti yetu hii hii au fika ofisin kwetu mama ngoma na sinza mapambano, mwenge Dar es salaam au piga 0622929424 kwa maelezo zaidi

  1. Karibu sana Ahmed, Una ufaulu mzuri na vigezo vya kujiunga na kozi yeyote kati ya hizo uliyopendekeza hebu wasiliana nasi kupitia 0745561090 au 0622929424 kwa maelezo mazuri zaidi

 5. hellow habari,
  naitwa harysonh je katika kozi ya electrical installation na bussines adimistraition je kuna masomo ya jion yani vipindi kwanzia saaa 10 jion kuendelea

  1. Ndio Haryson tuna vipindi vya jioni na pia kozi unazotaka zote zipo na unaweza kusoma,karibu sana tupigie kwa simu 0622929424 au 0745561090 upate maelezo zaidi.Ahsante

 6. Samahani mimi ni julius charles nilikua nimesoma electrical installation kwa miezi6 sasa naitaji kujiunga na chuo chenu nitafanya pia nimemaliza form four nina D 6 na F 2 naomba msaada wenu nipo mara musoma

  1. Karibu sana Julius Charles tunayo furaha kuona unahitaji kujiendeleza zaidi, ni fahari yetu kukupatia Huduma njema, vigezo vya kujiunga unavyo hebu wasiliana nasi kupitia 0745561090 / 0622929424/ 0652835123 upate maelezo zaidi

  1. Kozi hizo zipo unaweza kujiunga na kusoma na jitahidi kutuma Maombi yako bado tunaendelea kupokea Maombi Karibu Sana Kilimanjaro Institute Hebu tupigie kupitia 0745561090 / 0622929424 kwa maelezo zaidi

  1. Ndio Robert karibu sana Kilimanjaro Institute ,unaweza kujiunga kwa ufaulu huo na gharama ni nafuu kabisa, jitahidi uwasiliane nasi kupitia 0745561090 au 0622929424

  1. Vigezo ni ufaulu wa alama D kuanzia 2,3 au 4 kuendelea unaweza kujiunga Rajabu karibu sana piga 0745561090/0622929424 kupata maelezo kamili namna ya kujiunga

  1. Unaweza Kujiunga tayari una vigezo vya kujiunga jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0622929424 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Unaweza Kujiunga tayari una wegezo vya kujiunga jitahidi ufanye usajili mapema piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. karibu Sana Kilimanjaro institute francis tumeshaanza kutoa kozi hiyo na bado
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Karibu Sana Kilimanjaro institute francis tumeshaanza kutoa kozi hiyo na bado
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  2. aribu Sana Kilimanjaro institute francis tumeshaanza kutoa kozi hiyo na bado
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Karibu Sana Kilimanjaro institute John inawezekana kujiunga
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Karibu Sana Kilimanjaro institute Godwin
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Karibu Sana Kilimanjaro institute
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

   1. Ndio Magdalena
    tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Ndio unaweza kujiunga Karibu Sana na Inawezekana Kozi zipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

    1. Tuna changamoto za maswali kama haya kutoka na uelewa Mdogo wa maswala kama haya.Kumbuka Chuo chochote kilichosajiliwa na serikali kinafuata kanuni na utaratibu uliyowekwa na serikali na pia kinafuata Miongozo mbalimbali iliyowekwa na Vyombo husika vya Elimu.Utaratibu Upo kuna Mifumo miwili tunaitumia nayo ni Nacte na VETA.Hii yote inatumika na kama huna Pass 4 form 4 unasoma NTA LEVELS Ambazo zitakuwezesha wewe kuendelea na elimu za juu

  1. Ndio Issa ipo na kwa ubora zaidi ambao utakuwezesha wewe kuendelea na elimu ya Juu
   tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa

   1. Ndio kozi hiyo ipo na tunaitoa kwa ubora wa juu na kwa gharama nafuu sana
    tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

  1. Hapana amiru Karibu Sana Kilimanjaro institute of technology and management Muhula wa masomo 2018/2019 hakikisha haukupiti
   Piga 0745561090 kwa maelezo zaidi yatakayoweza kukusaidia

  1. Ndio Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  1. Ndio Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  2. Hostel zipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  1. Ndio Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  2. Ndio Kozi hiyo ipo tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  1. Ndio brother Kaka Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  1. Kozi hiyo ipo na bado tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

 7. Nina mdogo wang kamaliza kidato cha nne mwaka na matokeo yake si mazuri… na matokeo yake ni mabaya kapata zilo. Na anapenda sana mambo ya I.T na ndo lengo lake. Je anaweza kujiunga katika chuo chenu?

  1. Fomu unaweza kuzipata hapa hapa kwenye website Yetu Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa haraka

  1. mzee utaenda kupoteza muda tuu resit mtihan ea form four utafute pass nne la sivyo hutaendelea na elim ya juu na pia nacte hawatakusajili hawa ni wafanya biashara tuu usidanganyike

   1. Hakuna cha Biashara hapo,Tuna changamoto za maswali kama haya kutoka na uelewa Mdogo wa maswala kama haya.Kumbuka Chuo chochote kilichosajiliwa na serikali kinafuata kanuni na utaratibu uliyowekwa na serikali na pia kinafuata Miongozo mbalimbali iliyowekwa na Vyombo husika vya Elimu.Utaratibu Upo kuna Mifumo miwili tunaitumia nayo ni Nacte na VETA.Hii yote inatumika na kama huna Pass 4 form 4 unasoma NVA LEVELS Ambazo zitakuwezesha wewe kuendelea na elimu za juu

    1. The KITM nimekuelewa sana, Advisor hapo alikuwa amekurupuka. Maisha ya kukalili, hahahahaha.Kwa mtindo huu umaskini bado utaendelea, elimu ya juu bila malengo ni umaskini tosha.

   2. Unakurupuka kujibu, kwani amekwambia anataka kusoma ili aendelee na elimu ya juu.Siyo kila mtu anayetaka kusoma ana mpango wa kuendelea na elimu ya juu.Au anayeendelea na elimu ya juu ndo anapata ajira na kufanikiwa kimaisha? Mbona kuna watu wenye degree na hata Masters wako kitaani hawana kazi na wakati mwingine wanaomba msaada kwa hawa waliopata C moja na waliosoma kozi fupi za ufundi.Kinachotakiwa hapa ni ujuzi na si kusoma tu ili uendelee na elimu ya juu huku ukijua una C moja. Huna hata haja ya kupoteza muda eti unarudia rudia mtihani wa kidato cha nne ili tu uendelee na elimu ya juu.Siku hizi watu hawasomi kwa sifa, bali ni kwa maelengo.Somea kitu kinachoendana na uwezo/afaulu wako na kwa malengo, hayo mengine ni siasa tu.

   3. Advisor unapotosha watu, usikalili maisha, acha watu wasomee kitu na level inayoendana na uwezo na malengo yao.Kusoma elimu ya juu tu bila malengo siyo issue.

     1. usijali Jordan
      Karibu Sana Kilimanjaro institute
      tunaendelea kupokea wanafunzi Karibu Sana Kilimanjaro institute inawezekana kabisa kujiunga.Piga 0745561090/0717816034 kupata maelezo mazuri yatakusaidia Kwa Haraka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *