57 thoughts on “JOINING INSTRUCTIONS FOR SELECTED APPLICANTS FOR ACADEMIC YEAR 2018/2019

  1. Hello karimu kwa taarifa zako, una ufaulu mzuri tu kabisa wa kujiunga na chuo chetu, bado tunaendelea kupokea wanafunzi hebu wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi ya haraka 0622929424/ 0745561090

 1. Habar mm ni muhitimu wa kida to cha nne 2017 na hitaji kujiunga na course ya accountancy katika chuo chenu je vp kuhusu upatikanaji was form za kujiunga au kama zipo kwa njia ya online naomba niweze kujua kama zipo ili nijaze moja kwa moja

 2. Ni utaratibu gani unaotumika kuwataarifu wanafunzi wanaotakiwa kuingia chuoni mwezi wa NNE na lini majibu hayo yanatoka

  1. majibu yameshatoka kitambo wasiliana nasi kwa namba ulizokuwa unatumia wakati unatuma maombi watakusaidia kwa haraka zaidi na tarehe ya kurepoti ni tarehe 18/04

 3. Mimi ni mzazi niko Arusha, nataka mtoto ajoin course ya information technology, naomba kujua kuhusu accommodation kuna utaratibu upi?

 4. Ningependa kuuliza kwa mfano mm nimesomea nje ya nchi jirani kenya nikamaliza form four. Nimerudi na cheti changu nikaenda nikafanyiwa equivalence ambapo nilifaulu, je kuna uwezekano wa kuapply diploma kwenye kozi ya IT?

 5. mimi naulizia kama kuna uwezekano wa kujiunga chuoni mwezi juni sababu nimesikia kuwa uwezekano uliopo ni wa kujiunga mwezi machi pekee

 6. Naomba kuuliza, naweza kusoma certificate ya ICT bila kuwa na pass NNE katika cheti changu cha form four. Cheti changu kina sifa ya pass mbili, English & History. Nahitaji kujua kama naweza anza kusoma hiyo course, na nikaendelea hadi kuifikia elimu ya juu kabisa kwa mwongozo huu. Naomba majibu. Asante

 7. Nina certificate ya IT naitaji kujiunga na chuo chenu kwa level ya diploma ila kwenye cheti cha Form 4 sina chemedtry wala physics masomo mengne ninaufaul mzur kuanzia “C” SASA JE NAEZA KUBALIWA KUJIUNGA NA CHUO CHENU??

  0659794193 whatsApp

 8. Sion maana ya kuwa na hii portion ya comment.. maana kila swali lina default answer, which is “wasiliana nasi kupitia….”

  Ni vzr maswali ya hapa yakapata majina hapa hapa.

  Regards,

 9. Habari nilikuwa nauliza masomo yataanza lini rasmi sababu naona ratiba Kama imebadilika…then wanasema kwamba tunaamiah katika premises jingine. Tafadhali nijuliashwe. Shukran

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *