21 thoughts on “ADMITTED STUDENTS 2019 MARCH INTAKE

  1. Mimi Erick Charles.
    Je; ada kwa evening programu ya IT ni shilingi ngapi? Na Je; ninapataje form ya kujiunga na programu za IT?

    1. Hello Erick ada ya kozi ni hiyo hiyo tu haibadiliki kwa wale wa jioni wala mchana, Ndo uzuri wa Kilimanjaro institute huduma zake ni kwa watu wote na kwa usawa. piga 0622929424 au 0745561090

  2. samahani aisee nlkua naomba kuulza nna ndgu yangu kamaliza form four ana pass mbili 2 anaeza jiunga na course ya IT certificate

  3. Mimi mtanisaidiaje kwa vile cheti cha certificate bado hakijatoka afu ningependelea kuanza diploma ya IT . Mwisho wa kufanya application ni tarehe ngap?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *