15 thoughts on “FIRST SELECTION OF ADMITTED STUDENTS FOR OCTOBER INTAKE (NACTE) AND JULY INTAKE (VETA) 2019/2020

  1. habari samahani nilikuwa nauliza kama je nilishatumaga maombi na nikaitwa kwaajili ya masomo lakini skuweza kufika kwa kipindi hicho kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu je naweza tuma maombi tena..?

  2. Iv hiki chuo hakipo kwenye orodha ya vyuo vilivyoruhusiwa kudahili wanafunzi wa October intake kwann naomba majibu nijue kabla sijaja kuaply

    1. Zakayo chuo chetu kina usajili wa Kudumu wa NACTE Na kinatambulika na serikali na bado tunaendelea kupokea wanafunzi wa intake ya October piga 0622929424

    1. Habari lawi, fomu za kujiunga zinapatikana katika tovuti yetu hii hii ukfungua utaona sehemu imeandikwa Application form ndio hapo hapo.au tupigie 0622929424

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *