48 thoughts on “7TH SELECTION OF ADMITTED STUDENTS FOR OCTOBER INTAKE 2019/2020

 1. Mim Nina ufaulu wa C moja ya kiswahili, D ya English, D ya Islamic na D ya Civic je naweza kujiunga na chuo kwa kozi ya hotel management

 2. I want to know how much does it cost to finish studying Cerficate of Business and Administration in your University

 3. Nauliza ada kwa course ya Certificate in Business Administration ni sh ngapi? Quick response plz!!!

  1. Habari Hassan,

   Ulifanikiwa kujiunga na kozi ya hotel management katika chuo chetu. Kama ulifanikiwa naamini utakuwa umeshaona tofauti ukilinganisha na vyuo vingine.

 4. My name is festo Joachim so am asking for applying in three 3 different course first is .hotel management,accountancy,& Electrical installation,.na Karo Ni how much in each course.

  Another question is what kind of students who are qualified to join in those course.

 5. My name is Yusuph masoud I want to study diploma in business management so how can iapply what kind of student who qualify to join in that course
  Please I need to register

 6. hlw natamani kujiunga ndan ya chuo hicho ila kwa sasa nahisi nimechelewa na pia sijafaham sifa za mtu anaetaka kujiunga na diploma

 7. Hi,my name is khalidy Iw like to study diploma in the hospitality management so how can I applied what kind of students who qualified to joined in that course

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *