26 thoughts on “SELECTED STUDENTS MARCH INTAKE 2020

  1. Habari Haji,

   Kujiunga na kozi ya IT, hatua ya kwanza ni kuchua application form ijaze kisha itume kwetu. Nafasi bado zipo kiasi.Piga 0713683510 kwa maelezo zaidi.

 1. Samahani, Naomba kuuliza kuhusu utaratibu wa kupata cheti Cha CIT kwa maana kuna nafasi tunazikosa kwa sababu ya kutokuwa na cheti. Ni kwa mda gani vitakuwa tayari?

 2. naitaji kuapply chuo chenu ngazi ya diploma course ya procurement and supply kwa intake ya mwezi huu wa 3 je nafasi bd zpo?

  1. Habari, samahani kwa kuchelewa kujibu, nafasi bado zipo, masomo yanaanza tu punde serikali itakapo toa tamko rasmi la kufungua vyuo.Ni vizuri kuendelea na maandalizi.

  1. Habari Zulekha,
   Samahani kwa kuchelewa kujibu.Tumeanza kupokea maombi kwa kozi za VETA zitakazoanza April 2020. Unaweza kutuma maombi yako sasa.

 3. Naomba kuuliza ,nimeomba nafasi ya kujiunga na chuo hapo nikaambiwa nitapata majibu mwezi wa 3 ili kama nimechaguliwa ili kuanza in take kwa ngazi ya chet course ya IT.Sasa leo ni tar 2 bado sijapata majibu ,naomba kujua nitajuaje kama nimechaguliwa au la?

 4. Naomba Kuuliza nimeomNaomba Kuuliza nimeomba chuo KITM nikaambiwa nitapata majibu mwba chuo KITM nikaambiwa nitapata majibu mwez wa 3 ili kuanza in take ,sasa nitajuaje sasa kama nimechaguliwa? au la?

  1. Habari Edward,
   Tunaomba kujua kama umeshapata majibu ya maombi yako, kama hujapata tafadhali tupigie kwa 0622929424 kwa msaada zaidi.

  1. Hello Abdallah,
   Did you managed to apply for Information Technology course? If you didn’t please call us on 0652835123 for a help.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *