20 thoughts on “SECOND SELECTION MARCH INTAKE 2020

 1. Nahitaji kujiunga na chuo chenu kwa course ya hotel management lakin Nina shida moja nimemaliza kidato Cha Nne lakin matokeo yangu hayakuweza kutoka had hivi leo kwaiyo sijajua kuwa Kama niliferi au kufauru lakin Nahitaji kusoma hii course je ninaweza kuwa na sifa na chuo chenu.

 2. Naitaji kujiunga na chuo chenu nina ufuulu wa alama d tatu je inawezekana kujiunga na IT na je mbele niendako sitasumbuliwa

  1. Habari Isaya,

   Kwa ufaulu wa D 3 ,unaweza kujiunga na kozi ya IT kwa Vocational Certificate. Hakuna atakayekusumbua kwa kuwa baada ya kufaulu mitihani yako yote utapata cheti cha chuo na cha serikali.

  1. Habari,
   Ndiyo unaweza kujiunga na chuo chetu ukiwa na division 3.Unaweza kuanza mchakato, wakati tukisubiri serikali kufungua vyuo.

  1. Habari Yusuph,
   Samahani kwa kuchelewa kukujibu, ndiyo unaweza kujiunga na chuo chetu.Punde vyuo vitakapo funguliwa tu tunaendelea na utaratibu kuwapokea wanafunzi wapya.

  1. Habar Abdallah,
   Kwa sasa tunasubili serikali ifungue vyuo ili tuendelee kupokea wanafunzi wapya. Unaweza kuanza kufanya maombi.

  1. Hello Mathias,
   With your division 2, you can join our college.You can start your application now while waiting for lockdown to be lifted.

  1. Habar Josephat,
   Ndiyo unaweza kujiunga na chuo chetu, anza kutuma maombi sasa kama hujaanza, ili vyuo vikifunguliwa tu uwe umeshakamilisha taratibu zote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *