6 thoughts on “THIRD SELECTION MARCH INTAKE 2020

  1. Habari naitwa MEDARD BONIPHACE ENOS mimi niliishia kidato cha nne ila sikufanikiwa kufanaya mtihani kutoka na hali iliyojitokeza katika muendelezo wa maisha yangu.
    Kwa ufupi napenda kusomea IT na hadi sasa ninauelewanayo kwa asilimia nyingi na naitumia katika maisha ya kila siku katika ajira yangu, ila sina Qualification za kuniwezesha kujiunga CHUO na hususani cheti je, kuna njia nyingine pengine imehalalishwa ya kujiunga kwa watu wa kaliba kama yangu ili kupata cheti?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *