6 thoughts on “FIRST SELECTION NOVEMBER INTAKE 2020/2021

  1. NAITWA SHAMU CHIRSTOPHER MTIMI NILIE HITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA 2019 naomba nafasi ya kujiungaa na chuo katika course ya INFORMATION TECHNOLOGY kwa ngazi ya certificate and diploma ufaulu wangu Ni civics D geography D English D history D kiswahiliii D TAFADHALIII NAOMBA KUJIUNGA NA CHUO KAMA NAFASI BD IPO NA KUJUA ADA NI SHINGAPI

  2. Na itwa ALPHAXADY MASATU BWIRE Nili apply coz ya IT Kwa maelekezo Mliyo nipatia lakin sijaona jina langu apo juu kweny selection zote mbili et bt
    kwenye selection ya 1 it jina namba 5 lime andikwa ALPHAKADY MASATU JOMSON ..!!
    Sasa apo ndio sijaelewa hilo ni jina langu lime kosewa tu kua dukes au me ndio sija chaguliwa kabisa??? 0753835961

  3. Naitwa hellena nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nilipata C moja na D moja nauliza naweza kujiunga na chuo chenu kusoma cose ya IT ada ni kiasi gani na cose inaanza lini?? Asante

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *